Thursday, July 25, 2013

Anatafutwa na Wazazi wake

Mather Joseph mwenye umri wa miaka 16 (pichani) ambaye ni mwanafunzi wa chuo cha ufundi S. Peter Parish aliondoka nyumbani kuelekea shuleni Oysterbay akiwa amevaa sketi ya damu ya mzee na shati jeupe ambazo ni sare ya shule.

Tangu siku hiyo hajaonekana na tumemtafuta katika hospitali zote za jijini Dar es Salaam lakini hatujafanikiwa kumpata. Pia taarifa hizi zimeripotiwa katika kituo cha Polisi Kigamboni kwa namba KDG/RB 5017/2013, kwa yeyote atakaye muona atoe taarifa katika kituo chochote karibu naye.

Nyumbani kwao  ni Kigamboni, kota za Jeshi la Wanamaji Kigamboni. Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0718038128

0 comments:

Post a Comment