Friday, July 26, 2013

Spika MAKINDA kachaguliwa kuwa Rais wa Afrika katika mkutano wa CPA Barani Afrika


Spika wa Bunge la Tanzania, Mhe Anne Makinda akihutubia kuwashukuru wajumbe wa CPA baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa CPA Afrika.


Mhe Anne Mkinda akipongezwa na Mwenyekiti wa CPA ambaye pia ni Spika wa Bunge la Gauteng Mhe LindiweMaseko, kwa kuchaguliwa na Mkutano huo wa 44 wa CPA kuwa Rais na Mwenyekiti wa Mkutano wa 45 wa CPA utakaofanyika Arusha Nchini Tanzania Julai mwakani.


Picha ya pamoja ya uongozi wa CPA Kanda ya Afrika kutoka kushoto ni Mhe. Request Mutanga ambaye ni mweka hazina, Mhe. Asser Kapere ambaye ni Spika wa Bunge la Namibia na Rais aliye maliza Muda wake, Mhe. Lindiwe Maseko ambaye ni Mwenyekiti na Spika wa Gauteng, kutoka kulia ni Mr. Demetrius Mgalami Naibu Katibu Kanda ya Afrika, Mhe. Lusia Witbooi Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Afrika, Spika Sephiri Motanyane wa Lesotho na Mhe. Anne Makinda Rais wa Afrika wa CPA.

0 comments:

Post a Comment