Monday, June 30, 2014

Afrika sasa baaasi...


Ni baada ya hapo jana usiku majira ya saa tano timu Algeria kulotewa nje ya mashindano hayo baada ya kupigwa magoli mawili. Algeria hawakuondoka patupu kwani walibahatika kupata bao moja.


Mabao yote kwa timu zote mbili yalipatikana katika dakika zile thelathini baada ya dakika tisini timu zote kutoka bila kupatikana mbabe. Hapo ndipo timu ya Ujerumani ilipoibuka mshindi na kuweza kufuzu katika kuendelea na mashindano hayo

1 comments: