Monday, June 30, 2014

Algeria yabeba tumaini ya kombe la dunia 2014



Ni baada ya timu ya Nigeria kutupwa nje ya mshindano hayo na timu ya Ufaransa kwa jumla ya mabao mawili yaliyofungwa katika kipindi cha pili cha mchezo huo.

Katika kipindi cha kwanza timu zote zilionekana kucheza vizuri ndipo ilipofika katika kipindi cha pili kwa timu ya Ufaransa kupata mabao hayo mawili bila majibu.

Usiku wa saa tano utashuhudiwa mtanange kati ya Ujerumani na Algeria ambayo ndiyo timu pekee ya Afrika ilibaki katika mashindano hayo.

0 comments:

Post a Comment