Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiendesha pikipiki wakati alipozindua Mradi wa Pikipiki wa Kikundi cha SACCOS ya vijana wa Mbinga kwenye uwanja wa CCM mjini Mbinga akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 21, 2013.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwapongeza baadhi ya waendesha pikipiki wa Mbinga baada ya kuzindua mradi wa pikipiki za kikundi cha SACCOS ya vijana wa Mbinga kwenye uwanja wa Mpira wa CCM mjini Mbinga akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 21, 2013. |
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizindua mradi wa kupeleka umeme Mbambabay
katika wilaya mpya ya Nyasa kutoka kwenye kituo cha kuzalisha umeme
cha Mbinga akiwa katika ziara ya mkoa wa Ruvuma Julai 21, 2013. Kulia ni
Mkewe Tunu na Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Thabiti Mwambungu.
Watatu Kulia ni Naibu Waziri wa Nishati na Madini Stephen Masele.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu |
0 comments:
Post a Comment