Saturday, August 3, 2013
Filamu ya Irene Uwoya "QUESTION MARK" yatoka rasmi
Katika tasnia ya filamu nchini, jina la Irene Uwoya sii geni hata kidogo lakini filamu hii ya "Question Mark" ni ndiyo inayokufanya utahamaki zaidi kumtazama mwanadada Irene Uwoya.
Kwa habari zilizoifikia site hii ni kuachiwa kwa filamu mpyaaa ya muigizaji maarufu nchini anayekwenda kwa jina la Irene Uwoya, Filamu inaitwa"Question Mark" inapatikana sokoni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment